Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2016

MATOKEO DARASA LA SABA HAPA

MPYA HAYA HAPA MATOKEO DARASA LA SABA 2016 SHINYANGA YAONGOZA KITAIFA, KWA KUTOA SHULE BORA SHARE NA WENZAKO TAARIFA HII MUHIMU MASWAYETU BLOG,TUNAKUJALI SANA KUYAONA MATOKEO HAYO BONYEZA HAPO >>>>>>

DAZ BABA AIRUDIA BONGO FLAVA NA KUSEMA HAYA

Msanii mkongwe wa muziki aliyewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Namba 8’ Daz Baba amewataka wasanii wenzake wakongwe kutothubutu kuiga muziki wa vijana wapya. Rapper huyo ambaye anajipanga kuachia kazi mpya hivi karibuni, ameiambia Dr Foc Entertainment kuwa wasanii wakongwe wanatakiwa kuendelea kufanya muziki ambao uliwatambulisha kwenye game....