Skip to main content

Posts

Featured post

MAOMBI YA VYUO VYA AFYA AWAMU YA PILI

Recent posts

APPLICATION HEALTH AND ALLIED SCIENCES SECOND ROUND

The National Council for Technical Education (NACTE) is a corporate body established by the National Council for Technical Education Act, 1997 (Act No. 9 of 1997). The Act provides a legal framework for the Council to  coordinate provision of technical education and training and establish an efficient national qualifications system that will ensure that products from technical institutions are of high quality and respond to changing needs as well as technological innovations in the world. Welcome to Central Admission System Application for Admission into Health and Allied Sciences Certificate and Diploma programmes for  academic year 2023/2024 . The Deadline for application of second round:-  Deadline 08/08/2023 click HERE to apply

NEY WA MITEGO -AMKENI Official Video Lyrics

 

MAOMBI YA MIKOPO 2023/2024 KUANZA KUPOKELEWA JULAI 15

  MAOMBI YA MIKOPO 2023/2024 KUANZA KUPOKELEWA JULAI 15 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwajulisha waombaji mikopo watarajiwa kuwa inakamilisha kuandaa mfumo ambao kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka huu 2023/2024 waombaji hawatahitajika kuwasilisha nakala ngumu (hard copies) na hivyo kuwapunguzia gharama za uombaji. Dirisha la kuomba mkopo kwa njia ya mtandao litakuwa wazi kuanzia Julai 15, 2023. Aidha, kabla ya kuanza kuomba mikopo Julai 15, 2023, HESLB itatangaza ‘Mwongozo wa Utoaji Mkopo na Ruzuku kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa Mwaka wa Masomo 2023/2024’ utakaopatikana katika tovuti www.heslb.go.tz. Waombaji wote wanashauriwa kuusoma na kuuzingatia.   Imetolewa na: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, Jengo la PSSSF, Ghorofa ya Nne, Barabara ya Makole, S.L.P. 984, DODOMA Julai 8, 2023

FLOOD BOY FT MONCHIDY -WANITANGAZE Official Audio

FLOOD BOY FT MONCHIDY -WANITANGAZE Official Audio

ZODIAC KBT - MABOVU COVER Official Audio

Rayvany _Wasi Wasi New Audio Song (WCB FOR LIFE)