Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2016

Joti hakunaga ushemeji

Download nyimbo ya hakunaga ushemeji ya joti video Kali hapa Bonya hapa

Waliochaguliwa chuo kikuu dodoma UDOM hawa, hapa

Download majina hapa chini Bonya hapa

Mhadhiri chuo kikuu mbaroni kwa kumkashfu Rais Magufuli

Mhadhiri chuo kikuu mbaroni kwa kumkashfu Rais Magufuli MTU KWAO BLOG Idadi ya watu wanaokamatwa kwa tuhuma za kumkashfu Rais John Magufuli kupitia mitandao ya kijamii imezidi kuongezeka baada ya polisi kumkamata Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (Muce), Dk Oscar Magava (48). Dk Magava amekuwa mtu wa kumi kukamatwa na polisi katika kampeni za jeshi hilo kudhibiti uhalifu chini ya sheria ya uhalifu wa mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Julius Mjengi alisema Dk Magava alikamatwa akiwa Sumbawanga na alirudishwa mkoani Iringa. Mjengi alisema Septemba 15, mwaka huu walipata taarifa kuwa mhadhiri huyo anatumia mitandao ya kijamii kumkashfu Rais. Alisema waliamua kumsaka na walipopata taarifa kuwa Dk Magava amekwenda Sumbawanga waliwasiliana na polisi wa huko wakamkamata na kumrudisha Iringa. Hata hivyo, Kamanda Mjengi hakuyataja maneno aliyotumia Dk Magava kumkashfu Rais kwa madai kuwa bado wanaendelea na uchunguzi na kwamba ukikamilika atafikishwa mahakam...

Diamond ft Rayvany -Salome download hapa

Download wimbo mpya wa Diamond Platnumz Ft RayVanny - Salome Hapa chini DOWNLOAD

Heri Mboya _Nduna official video hii hapa

Angalia video mpya toka kwa Msanii wa Injili Heri Mboya. Usisahau kusubscribe kwenye YouTube yetu ili usipitwe na nyimbo Kali. Itizame hapa

NGOMA MPYA YA P SQUARE HII HAPA

Baada ya P Square Kuungana tena Hii ndio Ngoma yao ya Pamoja...... Bonyeza, hapa chini kupakua ngoma, hii DOWNLOAD

WCB Wakutana na Kikwete rais mstaafu picha hizi Hapa

Sept 14, 2016 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliwaalika wasanii na viongozi kutoka kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz nyumbani kwake kula chakula cha mchana na kuzungumza kuhusu kazi za muziki na maisha. Rais mstaafu JK, mwimbaji Harmonize na mama Salma Kikwete Rich Mavoko na Rais mstaafu JK Diamond Platnumz na JK Ikawa ni zamu ya Rayvanny . Salama akiwa na kikwete

Barakha da Prince Ft Ali Kiba =Nisamehe

Mzigo mpya NISAMEHE kutoka kwa BARAKAH THE PRINCE x ALI KIBA umedondoka tayari kwa hewa. Fanya kama unaucheki na kupakua hapa! DOWNLOAD

Selection za TCU kwa walioomba kujiunga na vyuo mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2016/2017 zimetoka.

Selection za TCU kwa walioomba kujiunga na vyuo mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2016/2017 zimetoka. Click here

MINDSET MC JICHO LA MUUGUZI

MINDSET MC JICHO LA MUUGUZI