Sept 14, 2016 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliwaalika wasanii na viongozi kutoka kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz nyumbani kwake kula chakula cha mchana na kuzungumza kuhusu kazi za muziki na maisha.
Rais mstaafu JK, mwimbaji Harmonize na mama Salma Kikwete
Rich Mavoko na Rais mstaafu JK
Diamond Platnumz na JK
Ikawa ni zamu ya Rayvanny
.
Salama akiwa na kikwete
Comments
Post a Comment