Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2017

MATOKEO DARASA LA NNE HAYA HAPA

  BONYEZA HAPA KUONA

Umuhimu wa Maji mwilini

  Kunywa maji ni tendo ambalo watu wengi hulifanya pale wanapohisi kiu. Wengine hutumia vinywaji mbalimbali kama vile juisi au soda ili kutuliza kiu. Wataalamu wanashauri matumizi ya maji kwa kutuliza kiu na hata kwa kunywa polepole kwa lengo la kuufanya mwili usikose maji. Kwa nini maji? Je, yana umuhimu gani katika mwili.  Umuhimu huo ni miongoni mwa mambo yaliyotiliwa mkazo na madaktari wa binadamu wakati walipokutana na wagonjwa mbalimbali wenye magonjwa sugu. Mtaalamu wa Magonjwa ya Moyo, wanaelelezea umuhimu wa maji ya kunywa ili kuepuka magonjwa ya moyo. “Moyo hauwezi kufanya kazi bila maji ambayo ni asilimia 70 ya mwili wa binadamu. Kwa hiyo, unywaji wa maji ni muhimu kwa utendaji wa mwili na hasa zaidi kwa mishipa ya moyo,” “Nini kinatokea kama mtu hatakunywa maji? Kwanza, mishipa midogo ya damu katika mwili itafunga. Hii itasababisha upinzani katika mzunguko wa damu na kusababisha kuongezeka kwa shinikizo la damu. Ukosefu wa maji huongeza hatar...

Fundal Height Measurement and Fetal Heart Auscultation

DOWNLOAD VIDEO: Roma & Moni – Usimsahau Mchizi

PAKUA NYIMBO MPYA YA ROMA FT MONI -USIMSAHAU MCHIZI KWA KUBONYEZA HAPA CHINI CLICK HERE TO DOWNLOAD

Download Audio: Madee – Hela

  Madee na wimbo wake mpya HELA DOWNLOAD HAPA

DOWNLOAD VIDEO: Bill Nass ft Mwana FA – Mazoea

  nyimbo mpya toka kwa wasanii wakali BILLNAS FT FA download hapa

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2016/2017 BONYEZA HAPA

  MATOKEO KIDATO CHA PILI 2016/2017 BONYEZA HAPA BONYEZA HAPA

drfoc.blogspot.com

Matonya - Hakijaeleweka Official Music Video

Meda -kokoro remix

Alikiba Hela Official Audio