Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2017

Wanafunzi Darasa la Saba waliofaulu Wapangiwa Shule Wote.

Baada ya kupata ufaulu mzuri na kuongoza kitaifa katika matokeo ya Darasa la saba mkoa wa Dar es Salaam,leo umetangangaza kuwa hakutakuwepo na wanafunzi wa chaguo la pili badala yake wanafunzi wote wamepangiwa shule moja kwa moja. Akizungumza katika Kamati ya uchaguzi wa wanafunzi kidato cha kwanza 2017 wa mkoa huo , Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Katibu Tawala mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mbando amesema kuwa katika matokeo ya Darasa la saba mwaka huu wanafunzi wote 58,573 walifanya sawa na asilimia 100% wote wamepangiwa shule na Wataanza kidato cha kwanza January 2018. Amesema, wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule za ufaulu mzuri zaidi ni 68, wavulana 35 na wasichana 33. Wanafunzi walio walio chaguzi wa shule za ufundi ni 74,wavulana 68na wasichana 6,shule za bweni kawaida no 24wavulana 12 na wasichana 12. Aidha amesema, wanafunzi 1,931wamechaguliwa kujiunga na shule za mkoa zinazo chukua wanafunzi wa mkoa wa Dar es Salaam, ambapo wavulana ni 850 na wasichana 1, ...

Audio: Zodiac KBT - Usiweke Dau Roho

Download wimbo mpya wa KBT usiwe Dau Roho kwa kubonyeza HAPA

Magufuli alivyomwaga Siri kubwa za mke wake leo Dodoma

EGO DEFENCE MECHANISM

Primitive Defense Mechanisms 1. Denial Denial is the refusal to accept reality or fact, acting as if a painful event, thought or feeling did not exist. It is considered one of the most primitive of the defense mechanisms because it is characteristic of early childhood development. Many people use denial in their everyday lives to avoid dealing with painful feelings or areas of their life they don’t wish to admit. For instance, a person who is a functioning alcoholic will often simply deny they have a drinking problem, pointing to how well they function in their job and relationships. 2. Regression Regression is the reversion to an earlier stage of development in the face of unacceptable thoughts or impulses. For an example an adolescent who is overwhelmed with fear, anger and growing sexual impulses might become clingy and start exhibiting earlier childhood behaviors he has long since overcome, such as bedwetting. An adult may regress when under a great deal of stress, refusing...

Communication Skills: A Patient-Centered Approach

Clinical examination palpation of the spleen by Prof.Dr.Hamzah

Baada ya Stamina kumvisha pete mchumba wake, ROMA ameyasema haya kuhusu ...

BABU SEYA, PAPII KOCHA WATINGA KANISANI BAADA YA KUTOKA GEREZANI

FULL VIDEO: Babu Seya na Papi Kocha wakitoka Gerezani

UHURU KENYATTA AMTEMBELEA TUNDU LISSU NA KUIMARISHA ULINZI WAKE KWA KUTU...

ANNA MGHWIRA AJIUNGA RASMI CCM APOKELEWA NA MAGUFULI

"Kamwe msichague mtoa rushwa, lakini akikupa wewe zichape na kachague un...

Diamond Platnumz ft Rick Ross - Waka (Official Video)

Nabii Mswahili Bongo Movie Part 01

Christian Bella | Shuga Shuga | Official Music Video

Shetta - Vumba Feat G Nako (Official Music Video)

Young Killer Msodoki - Hujanileta (Official Music Video)

Alikiba - Maumivu Per Day (Unofficial Release - Music Video)

Diamond Platnumz - Sikomi (Official Video)

WIN DALE INTERVIEW AT ABM FM DODOMA

Win dale ndani ya TBC TAIFA 1&2 FULL INTERVIEW AKITAMBULUSHA MANATI YA M...