Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa
Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa
Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.
Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni
kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego kwasababu haupo
kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye ambayo
mwimbaji ameyatumia sio mazuri kimaadili’- Godfrey Mngereza
Comments
Post a Comment