Je unawajua vijana wa kitanzania toka nyanda za juu kusini, EAGLE EYES ni vijana makini wawili MANINGA AND BRASS. Ni vijana wenye kipaji cha kuimba, hii imedhihirika pale walipokuja na ngoma zao kali mbili MAUMIVU na NISUBIRIE. Ngoma mbili ambazo zilitikisa katika media mbalimbali hapa tanzania na pengine na nchi jirani.
Eagle eyes wamejipanga kuupeleka muziki wa tanzania mbali zaidi na pengine kuipeperusha bendera ya tanzania ulimwenguni kote.
je unahitaji kuwasiliana nao
Whatsapp 0656461126
email eagleeyesbm@gmail.com
website eagleeyesbm.blogspot.com
facebook eagle eyes, eagle eyes bm
twitter eagle eyes bm
instagram eagle_eyes
SUBSCRIBE ON YOUTUBE
Comments
Post a Comment