JK na jitihada za kupiga vita UKIMWI
Dar es Salaam. Rais mstaafu Jakaya Kikwete jana amesema unahitajika ushirikiano wa dhati kati ya Serikali na sekta binafsi kufanikisha vita dhidi ya Ukimwi
Kikwete amesema kiwango cha maambukizi kushuka hadi asilimia 5.1 ni hatua ya kupongezwa na kuitaka jamii isiridhike.
Balozi wa Kilimanjaro Challenge, Mrisho Mpoto amesisitiza Watanzania kutambua mapambano dhidi ya Ukimwi yanamhusu kila mmoja na wanapaswa kuamua kuunga mkono jitihada za Serikali.
Comments
Post a Comment