Makosa makubwa yapungua nchini
Babati. Makosa makubwa ya uhalifu nchini yamepungua kwa asilimia 11 ikilinganisha na mwaka 2014 ambao ulikuwa na makosa 3,365.
Mwaka jana makosa yaliyobainika yalikuwa 2,996).
Katibu Tawala wa mkoa huo, Eliachim Maswi amesema kuwa hali hiyo imewapa nafasi wananchi kufanya shughuli zao za maendeleo bila hofu.
Maswi amesema polisi kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali na viongozi wa jamii husika, wamefanikisha kutatua migogoro mbalimbali, hasa ya ardhi.
Comments
Post a Comment