MTU KWAO BLOG / Eagle Eyes
Jamaa huyu amefanya kazi kama Daktari Bingwa kwenye Hospitali moja nchini Nigeria kwa Miaka 10 bila kugundulika. Kosa lake kubwa ilikuwa ni kupiga picha akiwa ameshika kiungo cha binadamu na kutupia kwenye mtandao wake wa kijamii ndipo wanoko walipoanza kumfuatilia na kugundua kuwa sio daktari.
Comments
Post a Comment