Habari ndugu msomaji , ni siku chache kabla ya uchaguzi wa UNISATA kufanyika. Baadhi ya wadau wameendelea kuchukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ktk chama.
Kwa mujibu wa m/kiti wa tume ya uchaguzi hawa ndio wagombea wa nafasi ya mwenye kiti
ALDOPH ITUGA
HELMAN MBIRO
HUSEIN BAHANZIKA
wote ni BscN2
HELMAN MBIRO
HUSEIN BAHANZIKA
wote ni BscN2
Orodha ya wagombea wa nafasi nyingine itakujia iv karibuni
Mhariri _Dr FOC
@Eagle eyes
@Eagle eyes
Comments
Post a Comment